Karibu Arusha
Arusha ni mojawapo ya mji unaokua kwa kasi sana nchini Tanzania. Mji huu wa kifahari unapatikana nusu njia kati ya Cape Town and Cairo. Baadhi ya sifa ya Arusha ni kuwa ipo katikati mwa Tanzania. Eneo hili linafanya shughuli ya usafiri kuelekea maeneo ya utalii kama Serengeti, Ngorongoro Crater, Lake Manyara, Tarangire Nakadhalika(NK) kuwa rahisi mno.
This website may contain nudity and sexuality, and is intended for a mature audience.
You must be 18 or older to enter.